1 Chronicles 16:1

Sanduku Lawekwa Ndani Ya Hema

1 aWakaleta Sanduku la Mungu na kuliweka ndani ya hema ambalo Daudi alikuwa amelisimamisha kwa ajili yake, na wakatoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani mbele za Mungu.
Copyright information for SwhKC